1. Funga kwa MbaliIngia Google Find My Device au iCloud Find My, weka simu kwenye hali ya Lost Mode ili kufunga skrini na data mara moja.
2. Zuia Line (SIM Card)Piga simu kwa mtandao wako (Vodacom 100, Mix by Yas 100, Airtel 100, Halotel 100) kuzuia line yako isitumiwe kwenye miamala ya kifedha.
3. Badilisha NywilaBadilisha mara moja password ya barua pepe (Gmail / Apple ID) na programu zote za kibenki ili kulinda taarifa binafsi.
4. Ripoti Polisi & TCRAChukua ripoti iliyoandaliwa na mfumo huu uwasilishe kituo cha polisi (Loss Report) kwa ajili ya kuanza ufuatiliaji wa minara.